Msaada wa haraka -mke wa mpangaji wangu anataka nizae nae,abaki na kumbukumbu yangu.

Ushauri umezngatiwa
 
Ana mtoto mmoja.
 
Huyo anataka mfe wote stuka
 
Kama wewe malaika bs umeona ni uongo kama si malaika ni hisia zako.
Sitembei na huyo Mama wala sikuwa na wazo ni tamaa zake mwenyewe.
 
Sasa unataka tukushauri uzae nae tu ama? maana kama ungekua hutaki hicho atakacho sidhani ungejiuliza mara mbili mbili
 
Sasa unataka tukushauri uzae nae tu ama? maana kama ungekua hutaki hicho atakacho sidhani ungejiuliza mara mbili mbili

maty yaani nashindwa hata pa kuanzia maana haeleweki hata anachouliza au mahitaji yake
 
Zubedayo.ni jina langu,mi ni mgogo wa mvumi.

Mheshimiwa naona kama hujajibu swali la msingi. Umeulizwa kama jinsia yako ni ya Ke/Me wewe unajibu kwa kutueleza jina lako kwa kirefu na kabila lako na unapotoka. Kwa mtindo huu ndio maana division zero haziishi mashuleni.
 
tata c aina ya gar,kwani Wewe Nani?
 
Mimi sijaelewa bado JF inalipa sh ngapi kwa mtu aliyeanzisha mada. Huu ni ufukunyuku tu, wewe ZUBEDA unakuwaje mwananume? Hilo la kwanza, la pili unataka tukusaidie nini? Mimi nachokiona hapa ni kwamba wewe unataka kumwambia baba mwenye nyumba wako hivyo sasa unachelea jibu gani utapata, sasa ndio unajaribu kuona watu wengine wanafikiri nini ktk hilo kabla hujalipeleka kwa baba mwenye nyumba wako.

Kwa maoni yangu, huo ni ukahaba koko usio na mfano. Ama kweli shetani hachoreki kwa kuwa kila siku anakuja kwa sura mpya. USHINDWE, ULEGEE, UNYONG'ONYEE UWE MFUPI KAMA BUKTA.
 
acha uzinzi, utakufa kabla ya siku zako, tubu dhambi zako na kuokoka na Yesu atakusaidia kuishi maisha yaliyo mbali na dhambi zote ikiwemo uzinzi unaokusumbua

kumbuk MKE WA MTU SUMU,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…