Celex elicia lucas
Member
- Jul 18, 2012
- 69
- 25
Kwa anayeishi Mwanza na anauwezo wa kunikopesha hicho kiasi cha pesa 2 million kwa riba nafuu naomba anisaidie plz.Ambaye yuko tayari anicheck kwenye inbox tujadili masharti ya mkopo na asset nilizonazo.