Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Laiti ungenisoma mstari wangu wa mwisho usingenishukia kiasi hicho nimeandika uzi huu nikiwa njiani kuelekea hospitaliMkuu muda huu ulio online ungekuwa umefika hospital ungekuwa ushapatiwa huduma.
Ushauri wangu hospital ni bora kwa afya kuliko jf
Btw pole sana
Kila la kheri mkuu usisahau kuleta mrejesho na kapicha fulani amaizingLaiti ungenisoma mstari wangu wa mwisho usingenishukia kiasi hicho nimeandika uzi huu nikiwa njiani kuelekea hospitali
Mkuu mwishoni mwa uzi amesema yupo njiani kuelekea hospitaliJamn we hauko serious siuende hospital
wacha kukurupuka, na ujitahidi kusoma kitu kwa umakini..ama wewe mzazi kweli , mtoto kafikia hapo wewe unauliza ushauri JF !
Weka picha tafadhali.Unamwacha mtoto anateseka kwa maumivu halafu unakuja JF.Ninyi ndo mnaopiga picha ajali zinapotokea badala ya kutoa msaada.
Mkuu nashukuru ni kuwa dogo amepata huduma inaonekana hicho kidude kilishuka tumboni ila kilimwachia mikwaruzo kwenye njia ya chakula ndo maana alikuwa anasikia maumivuKila la kheri mkuu usisahau kuleta mrejesho na kapicha fulani amaizing
Thanks mkuu kwa mrejesho, Mungu amsimamie na kumpa afya njemaMkuu nashukuru ni kuwa dogo amepata huduma inaonekana hicho kidude kilishuka tumboni ila kilimwachia mikwaruzo kwenye njia ya chakula ndo maana alikuwa anasikia maumivu
Anaendelea vizuri