Msaada wa haraka: Nahitaji kufuta academic qualifications zangu zilizopo Ajira Portal

Msaada wa haraka: Nahitaji kufuta academic qualifications zangu zilizopo Ajira Portal

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,739
Reaction score
2,697
Wakubwa naombeni msaada wenu.

Kaam kichwa chahabari kinavyojieleza, nimejaribu kuedit kwenye academic qualifications lakini naona vyeti vyangu bado viko vile vile, nimepiga simu huduma kwa wateja ile ya mkononi na ya mezani kwa AJIRA PORTAL ila hawapokei simu zangu zaidi yakumaliza dakika zangu bila kupata msaada wowote ule.

Nabaki naumia sana kuona ajira inanipita na lengo lakutaka kuondoa vyeti hivyo ni kwa sababu nataka niweke vyeti ambavyo vimedhibitishwa na Mwanasheria, hivyo ndugu zanguni naombeni mnisaidie , maana naona kama nimekwama.
 
Jamani naomba msaada anayejua kama unaweza kuedit taatifa zako ukiwa tayar umesha apply hasa kwenye other attachments kwenye cv?
 
Back
Top Bottom