Msaada wa haraka: nawashwa mwili mzima nikijikuna navimba

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
495
Wadau nimepatwa na tatizo nawashwa mwili kosa tu kujikuna navimba mwili wote nisaidie nifanyeje
 
nunua dawa za minyoo ndugu yangu utumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…