me cjasoma hilo gazeti ila nakushangaa kama kweli unatafuta kazi afu umekaa tuu huko kijijini cjui ulitaka yakukute haya yaliyukukuta unakuja mjini na deadline inafika , me nahic umeyataka haya coz mjini ndio kuna magazeti kwa uhakika na huduma za internet , kama uliamua kukaa kijijini ulitaka ufanye vp applications? nisiongee mengi ila nakushauri nenda library hasa hapo tanganyika au hata ofc za mwananchi wanaweza kukusaidia hilo gazeti unalolihitaji