K Kakulwa Senior Member Joined Oct 10, 2008 Posts 116 Reaction score 31 Mar 5, 2012 #1 Naomba kwa yeyote anayemfahamu Daktari bingwa wa koo wa watoto(pediatric laryngologist)kwa Dar Es Salaam anisaidie mawasiliano yake.
Naomba kwa yeyote anayemfahamu Daktari bingwa wa koo wa watoto(pediatric laryngologist)kwa Dar Es Salaam anisaidie mawasiliano yake.
Jonogomero Member Joined Feb 8, 2012 Posts 99 Reaction score 27 Mar 8, 2012 #2 Kuna doctor mmoja wa magonjwa ya watoto anaitwa Mollel, anayo hospital yake pale magomeni mwembechai. labda umjaribu huyo. Pole sana
Kuna doctor mmoja wa magonjwa ya watoto anaitwa Mollel, anayo hospital yake pale magomeni mwembechai. labda umjaribu huyo. Pole sana
tete'a'tete JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 472 Reaction score 64 Mar 8, 2012 #3 Dr. Kimaro yupo hapa Namamga kwenye haya maduka ya wapemba clinic yake inaitwa ENT karibu na Hook Phamacy...ni dr mzuri sana
Dr. Kimaro yupo hapa Namamga kwenye haya maduka ya wapemba clinic yake inaitwa ENT karibu na Hook Phamacy...ni dr mzuri sana
JohnShaaban JF-Expert Member Joined Aug 23, 2007 Posts 464 Reaction score 116 Mar 9, 2012 #4 Yah, nenda umuone Dk. Kimaro pale Namanga... ni daktari mzuri wa ENT kwa watoto. Sina namba yake ya simu, lakini kama mchangiaji hapo juu alivyosema, ana clinic pale Namanga karibu na dirisha la kuuza Luku kama unatokea kituo cha Mbuyuni. Good luck!
Yah, nenda umuone Dk. Kimaro pale Namanga... ni daktari mzuri wa ENT kwa watoto. Sina namba yake ya simu, lakini kama mchangiaji hapo juu alivyosema, ana clinic pale Namanga karibu na dirisha la kuuza Luku kama unatokea kituo cha Mbuyuni. Good luck!
L Lady G JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 515 Reaction score 131 Mar 9, 2012 #5 nenda magomeni mwembe chai Ekenywa, kuna specialist wa ENT ni Dr wa Muhimbili.