Pole ndugu yetu,mimi si doctor,but with simple knowladge and experience itakua ni kaswende!
Je Vipele husika hutokea ukifanya mapenzi na kila msichana ama ni msichana 1 tu?
Vipi ukitumia mpira hua vinatokea pia?
Soma hapa dalili husika na Madhara yake!,
Katika hatua za mwanzo, vipele katika sehemu za
uzazi huanza kujitokeza muda mfupi baada ya
maambukizi ambavyo baadaye hupotea
vyenyewe.
Kama ugonjwa hautatibiwa, maambukizi
huendelea kwa miaka, yakishambulia mifupa,
ubongo na moyo na kusababisha madhara
mengine yanayotokana na matatizo katika
mfumo wa fahamu kama vile homa ya uti wa
mgongo na magonjwa ya moyo na kiharusi .
Ushauri wa bure kimbia hospitali haraka, maana stage one inaonekana ushaanza ipita,
stage two vitajitoleza sehemu nyingine za mwili especial kwenye vidole
stage three kichwani na hapo huponi tena