Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Husadia Nini hiyo powderKula sana supu kongoro yatosha.
Huna haja ya poda
Asante sana mkuuNa kwa kukusaidia zaidi unaweza tengeneza gelatin powder mwenyewe.
Chemsha kongoro mda mrefu mpk ikaribie kukauka bakisha kiasi chako liquid
Chuja,acha ipoe sana tu.
Unaweza anika juani,au express
Kausha kwenye oven.
Unaipiga moto mwingi 200+ grade kwa dk 20-30.
Then unapooza tena.
Unaweza kuweka layers kwa foil kabla ya kubake.
Ukitoa ikipoa itakauka na mpk ukikata inavunjika km biskuti.
Hapo chukua mixer blend mpk upate unga.
Lete mrejesho.