Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

Mngejua jinsi wanawake hawathamini miili yao, wanavua popote ilimradi apate fedha alipe upatu,kikoba,apeleke black sijui ASA,
Mngeongeza umakini, tena wanaoongoza kufanya hivi ni wake za watu,
Mumewe kaondoka asubuhi yete atakipeleka kwa mpangaji mwenzie.

Polen
 

Mkuu kama kweli una ugonjwa wa zinaa ni heri uwahi hospitali ukapime upate uhakika

Inaweza isiwe kaswende ikawa kubwa zaidi ya hiyo

Gharama zinatofautiana hosp na hosp

Pole
 
Tubu na umpokee YESU
 
Gono hilo tayari 🤣 pata tiba mapema. Miezi mitatu ikiisha ukapime HIV kwasababu mwanamke mwenye ugonjwa wa zinaa ni rahisi sana kuambukiza HIV
 
Dalili nilizoona ni hizi, kwanza mwili ulianza kuwasha na vipele Kwa mbaaaaaali.
Baadae vipele kama viwili hivi kwenye uume, maeneo ya kichwa cha uume.
Vipele hivyo au vidonda hivyo kwenye uume haviumi.
Pole mkuu.

Je una vipele sehem nyingne ukiacha hivyo?.

Kaka hauna vipele sehemu nyingne basi hivyo vipele viwili tu sio vya kuogopa sana.
 
Hilo ni gono siyo kaswende,
Kaswende huwez ukapata dalili ndani ya siku mbili.
Choma sindano ya ciprofloxacin 1g 5/7

Utanishkru
Mkuu hizo sindano si ndo zile zinaleta maumivu zaidi hata ya gono jenyewe?? Maana Kuna sindano niliandikiwa zilikuwa zinauma balaa unatembea kama Roboti na mtu akikuangalia vibaya anaweza kujua umebakwa au umeleft group
 
Pole sanaa mshahara wa zinaa huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…