Msaada wa haraka please, mke wa mtu anakufa hukuu

Nyie mnachekesha kweli mbona story zangu page 20 mnasoma itakuwa page 1 jamaaa
Haya kasomeni tena nimepunguza maneno
 
Kwanza wewe mwanamke ni pepo kabisa.. umeolewa na bado unamfanyia mumeo hiv...?
Achwa yakukute tu... acha yakukute.. wanawake kama nyie hamfai kabisa
 
Kwanza wewe mwanamke ni pepo kabisa.. umeolewa na bado unamfanyia mumeo hiv...?
Achwa yakukute tu... acha yakukute.. wanawake kama nyie hamfai kabisa
Bro mbona povu sana vepee?!
 
Duh..!
Aliyeelewa atachangia.,mimi hiyo lugha hata sijaielewa labda sababu mimi bado mgeni humu jukwaani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha

Huyo mjasiriamali inabidi amwone shigongo si haba anaweza kupata Mawazo mazuri sana ya kuimarisha biashara yake na pia atapata suluhu ya mkasa wake
Kha! Alafu nimeskia shigongo ananitafuta kiru! AJE!

Anataka msaada wa nini wakati aliyataka mwenyewe?

BTW uongo hujitenga na ukweli ma mficha maradhi kifo humuumbua, the best way ni kumuambia ukweli mumewe ili asije kuumia huko mbeleni
Aya Street Pastor

haaa!!! yaan hii yote nisome mimi..!!!!
hapana bora niitwe bashite ila sio kusoma kitabu kizima..!!!!
Sawa bashite

Tuanzie kwenye vyeti kwanza kama ni vyake au vya....
Vyeti vipi labda ahahaha

kila ninavyojitahidi kusoma na usingizi ndio unazidi nimeipotezea.

wanawake watauelewa zaidi huu uzi.

naona tu KICHWA PANZI, BISIBISI, MSUMENO, KISODA nilijitahidi kusoma nikajua nitakutana na BASHITE
Stori zangu na za Lara mnasoma page 25 lakini hapa mnaona nyota
Basi sawaaa Mungu anawaonaa

Sasa mki-copy na kupaste basi fanyaneni editing. Unaacha bold text, font size 20 sijui? Inachosha kusoma.
Jaman wengine wanapenda ivyo hawaini maandishi madogo jamaa

Huyo mnunulie conc. Hydrochloric acid 20ml anywe itamsaidia
He unataka afe au?! Shindrwaaaa

Huyu aliforce kuolewa, bado
Hatarious baab!

Basis tena b money mi nalala
Za asbh mpendwaaa

Kwan mkasa unahusu nini
Unamhusu dadako soma vzuri utamwona
 
Machangudoa wapo wengi sana aisee, walioolewa ndio wengi zaidi kuliko wanaojipanga barabarani
 
unajua kuandika script!
nadhani kanumba angekuwepo ungeuza hii movie kali sana!
kumbe humu JF watu wanaweza sana kuandika Movie, kwa hakika mimi nimeisoma mwanzo mwisho, sikuiwekea maanani kama tukio la kweli, ila nimeiona kama simulizi nzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…