salaam zenu wakuu humu ndani.naombeni msaada wenu juu ya ni muda gani toka chuo kifungue kama hujaripoti hautakubaliwa kujiunga na chuo?nauliza sababu nilichaguliwa st francis this year but kutokana na loan kuzingua bado sijaenda.ila bodi imetukumbuka xo naweza kwenda chuo na kukubaliwa coz ni mwezi sasa toka chuo kifungue,:A S 39: