ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Mdogo wangu kachaguliwa kozi ya afya sasa kila niki confirm inakataa kumbe mpesa confirmation code yake aliikosea kuinakili. Nimejaribu kuwapigia mpesa wananiambia meseji watanitumia lakini leo siku ya 8 hawajatuma. Nimewatumia ujumbe nacte nao hawajanijibu, msaada jamani nifanyeje!