msaada wa haraka please

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Mdogo wangu kachaguliwa kozi ya afya sasa kila niki confirm inakataa kumbe mpesa confirmation code yake aliikosea kuinakili. Nimejaribu kuwapigia mpesa wananiambia meseji watanitumia lakini leo siku ya 8 hawajatuma. Nimewatumia ujumbe nacte nao hawajanijibu, msaada jamani nifanyeje!
 
Vp uki log in katika Home - Central Admission System (CAS) na hapa inazingua kwenye issue ya ku confirm

Tatizo ni kwamba mdogo wangu kasahau pass word ya email yake.Pia ile mpesa code anaikosea ila tunafika hadi kwenye page inayoonyesha yuko selected ila anatakiwa kuconfirm.NACTE NIMEWAAMBIA WANANIAMBIA AJITAHIDI KUKUMBUKA SASA NIMECHANGANYIKIWA!!MSAADA PLEASE!!
 
umeniacha njia panda kasahau pasword za email eg gmail or yahoo au alizotumiwa na nacte pindi alipojisajili.Kama niza nacte ni rahisi kuzipata kwenye email yake funguka tukusaidie
 
umeniacha njia panda kasahau pasword za email eg gmail or yahoo au alizotumiwa na nacte pindi alipojisajili.Kama niza nacte ni rahisi kuzipata kwenye email yake funguka tukusaidie

Bwana Rasokauzu au Omary sikufichi wewe ni binadamu mwenzangu jana umeniponza.Umenidanganya nimekutumia detail za mwanangu za Nacte kupitia namba yako 0766273528 matokeo yake umemdelete mwanangu umemweka mwingine.Si mbaya ndiyo dunia nalifuatilia jambo hilo.MUNGU WANGU ATANIPIGANIA.
 
Asee kama kweli kakufanyia hivi . Huyu mtu wa aina gani asiye na huruma jamani yani mtu badala ya kusaidia anakuzidishia matatizo
..
Hata hivyo rizki hagawi yeye mwanao rizk yake ipo kama kawaida
 
Asee kama kweli kakufanyia hivi . Huyu mtu wa aina gani asiye na huruma jamani yani mtu badala ya kusaidia anakuzidishia matatizo
..
Hata hivyo rizki hagawi yeye mwanao rizk yake ipo kama kawaida

ma mama said n't nobody and u should try n't trust nobody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…