BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
habari JF doctor
jaman ninasumbuliwa na miguu kwa mda sasa na sijui nifanyeje,hii miguu inauma kwenye ugoko kwa mbele yaan as ifu inaungua na moto,sometimes inaacha sometimes inauma ila hasa hasa nikikaa kwenye joto ni hatari miguu inauma balaa.Nahitaji tiba kwa yeyote anayejua hili ni PM.