Prezidah
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 750
- 182
Salaam WanajF!!
nina mtoto wa miezi 11 na yupo kwenye stage ya kuota meno fizi zimevimba kila nikipima joto inacheza kwenye wastani wa 39, alilazwa akala dozi ya quinine, ampicilin, getamycin na kufuaatiwa syrup ya zote. currently anapata dozi ya ambrodil, cephaloxine protexile. nimepima malaria hana, UTI hana. nikiuliza watu wananiambie niendelee kumpa paracetamol wakati madaktari waliniambia siyo nzuri kwa watoto ina effect kwenye figo, ini. wazoefu waliniambia nitafute CAFENOL YA WATOTO but nimezunguka mji mzima nimeikosa. naombeni msaada