msaada wa haraka plz

Prezidah

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
750
Reaction score
182
Salaam WanajF!!
nina mtoto wa miezi 11 na yupo kwenye stage ya kuota meno fizi zimevimba kila nikipima joto inacheza kwenye wastani wa 39, alilazwa akala dozi ya quinine, ampicilin, getamycin na kufuaatiwa syrup ya zote. currently anapata dozi ya ambrodil, cephaloxine protexile. nimepima malaria hana, UTI hana. nikiuliza watu wananiambie niendelee kumpa paracetamol wakati madaktari waliniambia siyo nzuri kwa watoto ina effect kwenye figo, ini. wazoefu waliniambia nitafute CAFENOL YA WATOTO but nimezunguka mji mzima nimeikosa. naombeni msaada
 
Huyo mtoto hahitaji hizo dozi za antibiotics kama hana bacteria infections!mpe paracetamol syrup akiwa na homa kali over 39°C!kuwa makini kiasi cha dawa unachompa mtoto kutokana na uzito alokuwa nao!Jaribu vilevile kumuogesha au kumpunguza nguo bodytemperature ikizidi 37,5°C!Mpe maji au vinywaji vya kutosha pia ili asidehydrate!
 

nashukuru sana Mkuu, nimezingatia ushauri wako na umesaidia sana now he is ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…