Homesickness
Member
- Apr 21, 2017
- 10
- 8
Jamani polisi wamechukua vitu vya ndugu yangu na wanadai apeleke risiti vitu hivo vimenunuliwa mda sana naomba kwa wazoefu wa sheria au aliyewahi tokewa na tukio kama ili alifanyaje had akavipata vitu vyenyewe ni pamoja na; monitor,subwoofer,na deki... NB vyote havina risiti lakin ni mali halali kabisa nisafanyee nn ili niweze msaidia huyu mtu.......
Nawasilisha
Nawasilisha