Msaada wa haraka: Project coordinator,analipwa kiasi gani kwenye Ngo's za mazingira.

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
3,018
Reaction score
4,369
hello wana jf?natumaini mu wazima.Naomba msaada wa kujua kiwango anacholipwa project coordinator.Najua humu kuna watu wa nyanja mbalimbali watanipa mawazo.ahsanteni.
 
minimum take home is 2.5M but kuna tofauti kubwa ya NGO's mfano local na international NGOs funguka zaidi aina ya NGO ili upate jibu lenye accuracy kubwa:director:
 
Duu....!!!ni Italian NGO inahusika na maswala ya mazingira hapa nchini.
 
Duu....!!!ni Italian NGO inahusika na maswala ya mazingira hapa nchini.

kuna ambae namfahamu anafanya kwenye NGo ya wamarekan,basic ni 2.3M,ila take home ni 1.7M.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…