Madini mjomba, kuna madini wanakosa hasa chuma.Wakuu habari zenu
Nina tatizo la kuku kudonoana sana.hali ni mbaya wanadonoana kiasi napoeza kuku wengi kwa vifo baada ya kudonolewa zenyewe kwa zenyewe
kuku wana umri wa miezi miwili ni kuku wa chotara.
Niliambiwa ni upungufu wa madini ninewapata hayo madini lakini wapi.wengine waliniambia ni chakula kidogo nimewaongezea chakula lakini bado hakuna mabadiliko
Natanguliza shukrani
Madini mjomba, kuna madini wanakosa hasa chuma.
Choma mifupa ya ng'ombe au mbuzi halafu pondaponda uwachanganyie kwenye chakulathanks mkuu.ili wapate hayo madini ya chuma niwape nini?
Wape hayo madini halafu mda mwingi baada ya chakula wape vitu vitavyofanya wawe bize kudoa mfano mbogamboga wataaacha mkuu!
Manake ukizubaa wakaendelea itakua ndo tabia na wote Watakuwa vipofu
Madini kanunie choka na madini ya chuma kama Ni kuku wa banda
Choma mifupa ya ng'ombe au mbuzi halafu pondaponda uwachanganyie kwenye chakula
Mkuu fani za watu hizo,, nani alikwambia ukiwapa mifupa wanapata madini ya chuma?Choma mifupa ya ng'ombe au mbuzi halafu pondaponda uwachanganyie kwenye chakula