SMA GOLDHeri ya mwaka mpya wana JF,naomba kujua ni maziwa gani ya kopo yanafaa kwa mtoto mchanga chini ya miezi sita.Mama yake asubuhi atakuwa anakwenda kazini na kurudi saa tano asubuhi,kwahiyo hayo maziwa ni kwa muda ambao mama hayupo. Naomba ushirikiano katika hili ili tuboreshe afya ya kijana.
Mtoto wa kwanza tulikuwa tunampa ya ngo'mbe...baadaye docta alitushauri tuache kwani ni mabaya sana kwa watoto kuna bacteria hafi hata uchemshe vipi, alipendekeza ni bora ya kopo kwasababu yale hayana huyo bacteria.duh! basi mnunulie hata ya ng'ombe. ya kopo ni mabaya.