msaada wa haraka sana unaitajika.

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
426
habari zenu
naomba kuuliza hivi viwango vipya vya ufaulu vilipitishwa au vinatumika vya zamani fano F mwisho 21? naombeni kujuzwa natanguliza shukrani zenu
note. kwenye makosa tusahihishane na sio kukashifiana asanten
 
Weep not mtoto!
Kwa msaada na uushauri,ni bora uweke malengo ya viwango vipya ili kama wataangalia vipya utakua sehem nzur au wakishuka 21 pia utaku kwenye kiwango cha juu ndugu yangu coz gvt bado haija tangaza officialy
 
habari zenu
naomba kuuliza hivi viwango vipya vya ufaulu vilipitishwa au vinatumika vya zamani fano F mwisho 21? naombeni kujuzwa natanguliza shukrani zenu
note. kwenye makosa tusahihishane na sio kukashifiana asanten

kuwa sehemu ya ushindani kwa kulenga alama mpya,maana waziri akilala,akiamka alama atakazoota ndotoni kwake ndo hizohizo zitatumika kwahiyo kuwa makini sana kijana....

....Ni mtazamo tu....
 
Komaa xana dogo kwa kutilia maanan viwango vipya make elimu ya bongo aitablk,kwan wazr wa elm akiamka asubh amekunja mgongo anafany maamuz yyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…