Msaada wa Haraka Tafadhali: Ungonjwa wa akili

nimekupata Alex The Great,

Dogo alifiwa na mama, sasa hakuweza kuvumilia hii issue. ilimwendesha saana.
Ni sahihi kabisa, ushauri wako naufanyia kazi.. naamini kuwa watu ndo wana majibu ya hili, hata Mungu anatumia watu.
Nalichukulian kwa uzito mkubwa.

Mshana Jr naomba tuwasiliane ukiiona hii post.

asante,

 
Tuko ki-IMANI zaidi. Tunajua litapita. Hata maombi anafanyiwa.

Asante Sky Eclat,

 


Sky, wewe ulipitia medicine??!, unavyodadavua!!!😁😁😁
 
Cariha,

macho ya kiroho ndo maombi/ibada? tunampekeka. asante.
Mupelekeni na huko ka ugonjwa wa kawaida unapona Ila wa mambo ya kiroho mnasumbuka kwa maombi. Kuna dada naye na mfahamu alikuwa anaumwa hivo hivo Ila akishapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…