Mimi sii mtaalam sana kuhusu mambo ya magari ila ninatafuta Toyota Rav4 old model ambayo ipo kwenye hali nzuri au nikiagiza kutoka japan itanigharimu sh ngapi ambayo ni used!
Pono anawezakuwa sahihi..tenga 7ml kwa ajiri ya ushuru,chaji za bandari na gharama nyingine jumlisha na hiyo pesa utakayoambiwa ya gari na gharama za utumaji(CIF)ambayo itakuleta around na hesabu aliyokupa pono