Msaada wa haraka tafadhali

Msaada wa haraka tafadhali

MOUREEN

Member
Joined
Apr 30, 2011
Posts
37
Reaction score
25
Naomba mnielekeze namna nzuri ya kuhifadhi ndizi mbichi za kupika ili ziweze kukaa muda mrefu bila kuiva.
 
Mie namenya km kawaida nazichujs maji naweka kwenye mifuko to the freezer...km unataka kutumia kesho yake ziweke kwenye bakuli na maji uweke kwenye fridge
 
Zikiwa kwenye vichane vyake loweka kwenye maji na kila baada ya siku mbili badilisha maji
 
weka kwenye fridge uchiuchi,usiziweke kwenye mfuko wowote si hujazimenya?
 
Back
Top Bottom