M MOUREEN Member Joined Apr 30, 2011 Posts 37 Reaction score 25 Jul 22, 2014 #1 Naomba mnielekeze namna nzuri ya kuhifadhi ndizi mbichi za kupika ili ziweze kukaa muda mrefu bila kuiva.
Naomba mnielekeze namna nzuri ya kuhifadhi ndizi mbichi za kupika ili ziweze kukaa muda mrefu bila kuiva.
Mrs Kharusy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 1,244 Reaction score 671 Jul 22, 2014 #2 Mie namenya km kawaida nazichujs maji naweka kwenye mifuko to the freezer...km unataka kutumia kesho yake ziweke kwenye bakuli na maji uweke kwenye fridge
Mie namenya km kawaida nazichujs maji naweka kwenye mifuko to the freezer...km unataka kutumia kesho yake ziweke kwenye bakuli na maji uweke kwenye fridge
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,098 Jul 22, 2014 #3 Zikiwa kwenye vichane vyake loweka kwenye maji na kila baada ya siku mbili badilisha maji
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,272 Jul 22, 2014 #4 weka kwenye fridge uchiuchi,usiziweke kwenye mfuko wowote si hujazimenya?