Ni mara ya nne sasa mama anaenda hospital. Tatizo kubwa ni mkono wa kushoto kuuma, maumivu huanzia usawa wa uti wa mgongo. Kuna kitu kinatembea ama kinahamahama na yenye maumivu makali kiasi cha kumnyima usingizi.
Na mkono hushindwa kufanya kazi. kaupepo kadogo kakipita unapitiliza kwenye mifupa ya maeneo tajwa. Hospital wamemwambia ana BARIDI YABISI lakini madawa hayasaidii