Msaada wa haraka tafadhali

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
175
Ni mara ya nne sasa mama anaenda hospital. Tatizo kubwa ni mkono wa kushoto kuuma, maumivu huanzia usawa wa uti wa mgongo. Kuna kitu kinatembea ama kinahamahama na yenye maumivu makali kiasi cha kumnyima usingizi.

Na mkono hushindwa kufanya kazi. kaupepo kadogo kakipita unapitiliza kwenye mifupa ya maeneo tajwa. Hospital wamemwambia ana BARIDI YABISI lakini madawa hayasaidii
 
Si vibaya akapima Figo na vidonda vya tumbo pia.
 
Najua maombi anafanya... ongezeni kutumaini katika hilo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…