nina ka frim kangu nashughulika na mambo ya ushauri na hasa kwa biashara ndogo na za kati sasa ninina mteja anahitaji ni wapi anaweza kupata chemical hizi hapa carborundum mesh 120mm, carborundum mesh 220mm,carborundum mesh 400mm,carborundum mesh 600mm,carborundum mesh 1200mm.
please assist me effectively