Enny
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 962
- 130
Jamani nimepigiwa simu na mama yangu mdogo kutoka mbeya mjini kuwa mtoto wake wa kike amewekwa mahabusu jana eti kisa rafiki yake wa kike toka nyumba ya jirani ambaye amemaliza form four mwaka jana ametoroka nyumbani kwao , hivyo baba yake anahisi huyo mdogo wangu anajua alipo hivyo kachukua polisi na kumkamata jana eti aseme rafiki yake yupo wapi. mbali ya kuwajibu kuwa hajui na wala hana habari zake zozote.
Kesi kama hii inatatuliwaje jamani.
Kesi kama hii inatatuliwaje jamani.