Msaada wa haraka tafadhari

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Jamani nimepigiwa simu na mama yangu mdogo kutoka mbeya mjini kuwa mtoto wake wa kike amewekwa mahabusu jana eti kisa rafiki yake wa kike toka nyumba ya jirani ambaye amemaliza form four mwaka jana ametoroka nyumbani kwao , hivyo baba yake anahisi huyo mdogo wangu anajua alipo hivyo kachukua polisi na kumkamata jana eti aseme rafiki yake yupo wapi. mbali ya kuwajibu kuwa hajui na wala hana habari zake zozote.

Kesi kama hii inatatuliwaje jamani.
 
mwambie atafute mwanasheria. mtu hawezi kuwekwa mahabusu kwa kuwa rafiki yake ametoroka kwao. nahisi kunaela imetembea polisi. na huyu mtoto akitolewa, wamshitaki huyu baba na hao polisi kwa usumbufu. atafute mwanasheria amsaidie. au kama anaweza kupata msaada ngazi ya juu polisi afanye hivyo.
 
Wakitafuta mwanasheria wanawwweza pata gharama nyingi kwa kitu kidogo.
Binafsi, sijaona kosa.
Nadhani hawawezi kumpeleka mahakamani huyu mtuhumiwa, soon atatoka.
 
Wakitafuta mwanasheria wanawwweza pata gharama nyingi kwa kitu kidogo.
Binafsi, sijaona kosa.
Nadhani hawawezi kumpeleka mahakamani huyu "mtuhumiwa", soon atatoka.
 
Wakitafuta mwanasheria wanawwweza pata gharama nyingi kwa kitu kidogo.
Binafsi, sijaona kosa.
Nadhani hawawezi kumpeleka mahakamani huyu "mtuhumiwa", soon atatoka.

Wamemtoa nashukuru na wala hawajampeleka mahakamani kesi ipo polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…