Za jumapili waungwana?
Toka usiku leo nateswa na jino balaa,sijalala.asubuhi na maprma nimezunguka hospitals Agakhan, TMJ, Mhimbili, Regency ,Hindu mandal na Palestina.kote nimeambiwa dentist hakuna mpaka kesho.hapa nabugia antipains sioni nafuu.chonde chonde mwenye namba ya simu ya dentist yeyote anayeweza kuwa kazini leo niPM...natanguliza shukrani