cutting point ya chuo husika inaonesha ni 2.5 lakin nimeandikiwa NO MIMI NINA POINT 3,Tatizo ni nini?,na katika programme zote 5 programme nne(4) nimeandikiwa YES na programme moja(1) nimeandikiwa NO nikiziacha hivo hivo kuna tatizo?