Msaada wa haraka..TCU

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
Habari zenu wadau wa JF.Miye ni mmojawapo katika list ambayo imetolewa na TCU ili nirudie kuappy chuo, Hii ni baada ya vyuo nilivyoappy mara ya kwanza aidha nilikosa vigezo au kuwa na watu wengi. Hivyo ninaomba ushauri, ninataka kuappy 'BACHELOR IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION'. Sijajua kama programme hii ni marketable? { ishu za ajira} .Mwenye ushauri wowote wadau. NATANGULIZA SHUKRANI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…