Msaada wa haraka unahitajika kwa huyu mtoto.

mwanya2

Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
94
Reaction score
49
Huyu ni mtoto wa kiume ana miaka 6, tatizo aliro nalo nikuwa anatokwa na choo kikubwa bila kujitambua, mwanzoni tatizo hili lilipoanza alipelekwa hospitali akafanyiwa vipimo wakasema ana minyoo akapewa dawa. Tatzo likaisha kwa muda wa mirzi kadhaa liajirudia tena akapewa dawa kama za mwanzo. Lakini hilitatizo limekuwa linajirudia mara kwa mara na zile dawa hazioneshi mafanikio kwa sasa. Masaada wa dawa ya kutibu hili tatizo jamani hadi mtoto anakuwa hana raha wala amani.
 
Muone member aitwaye Mzizi Mkavu.

Poleni sana.
 
Muone member aitwaye Mzizi Mkavu.

Poleni sana.
 
Pole sana kiongozi...ngoja wataalam watakuja kukushauri.
 
Akafanyiwe uchunguzi wa Rectum na anal sphincter muscle kama imekaa vizuri! Maana misuli ya sphincter no misuli ya hiyari, mpaka ujiruhusu ndio haja hutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…