Fika CCBRT utasaidika
I hope soMkuu u mean naweza pata hifadhi pale ...Can I check in box muda huu ??Asante
JioniSawa mkuu asante ..vip naweza kukucheki muda huu inbox?
Noted chiefJioni
AsanteNafikiri hata Hospital ya Ocean Road huwezi kosa sehemu ya kulala pale ukiomba watu.
Amen ...dunia hii mbaya sanaPole sana Mkuu, Mungu akusaidie afya yako iimarike na upone kabisa kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai.
Utatekwa stucaJioni
Jaribu kucheki ofisi za sisiem zilizo karibu naweHabari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
Man this is serious issue stop kidding ...me so mfuasi wa hizo mambo .Hujafa hujaumbika.AsanteJaribu kucheki ofisi za sisiem zilizo karibu nawe
kwanini uje dar wakati mwanza kuna hospitali kubwa bugando,kwanini usitibiwe hukoHabari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
Pole sana kaka.
Matibabu kuja dar ni referal?.
Una bima?.
Umesema kuna mtu anahitaj kukuangalia. Ina maana ukiwa kwa pagala utakuwa na mtu?.
Ina maana ni watu wawili. Je ni mke?.
Huwez kukaa kwa mtu kwasababu ni kero. Je ukikaa wodini itakuwa ni kero?.
Gharama ya matibabu ni sh ngap?.
Mm nashauri tafuta referal. Uombe msaada wa gharama ya kukutibu kwa ndugu jamaa na marafiki ukiwa na Vivid na valid reason
Pole sana ila badili hiyo ID kingine kuwa makini vya bure gharama hasa huku mjini.Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu wa kuangalia nijistili kwa muda tu.Siwezi kukaa kwa mtu as kutokana na hali yangu kiafya nitakuwa kero. Asanteni
kwanini uje dar wakati mwanza kuna hospitali kubwa bugando,kwanini usitibiwe hu