Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

Pia stendi ya magufuli mbezi waweza kulala na hutasumbuliwa na TV ipo

Mwaka 99 navyoingia dar sikutaka undugu na mtu ukaka Wala umjomba , stendi ubungo yalikuwa maisha yangu mwezi mzima
 
Naamini kuna mtu atakufuata inbox atakusaidia zaidi. Pole sana mkali.
 
Asante sana mzee...hata huu ni msada pia .
 
Tibiwa huko huko ....kwani hapo bugando vipi
 
Mloganzila pana sehemu ya julala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…