Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Danhappy

Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
71
Reaction score
205
Habari zenu,

Shida yangu kubwa nilizaa mwaka 2015 mtoto akafariki ni opereshen nikaambiwa nitulie mwaka ndo niweze kuzaa tena, sasa kipind hicho sijatumia njia yoyote zaid ya kalenda, sasa wakat umefika natafuta tangu january had leo sifanikiwi, mwez uliopita nikakutana siku ya 11,13,14 na 16 lakin cha kushangaza wik moja mbele nipate period ijafika nikaanza spotting nimeenda hospital wakasema ningoje basi tangu jumapil hadi ijumaa ni spotting tu.

Ikaja iyo jumamos ambapo ilikuwa iwe siku ya period ilotoka dam nyingi mnooo, siku ya pili yake ikawa kidogo leo siku ya tatu hakuna kabisa nimepima mimba na upt nyumban hakuna mimba nisaidien wenzangu ni kitu gan hiki!
 
Pole sana na vumilia yatakwisha...pia jaribu kutafuta wale wa mitishamba/tiba mbadala
 
Back
Top Bottom