Msaada wa haraka, unyanyasaji kwa watoto

Msaada wa haraka, unyanyasaji kwa watoto

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari wanaSheria

Naomba msaada juu ya watoto walionyimwa fursa za kusoma baada ya mzazi mmoja ambaye ni baba kumtelekeza mama na watoto lakini alipopatikana mfadhili wa kuwasaidia hawa watoto kielimu ndugu wa wazazi wamekataa hilo na ninavyoandika huu uzi watoto wameachishwa shule kutokana na fitina za ndugu.


Mama na watoto imebidi wahame mji kurejea kijijini baada ya fitna za ndugu.


Msaada tafadhali hata ushauri. mawasiliano kwa watakaoweza saidia hili n.k
 
Back
Top Bottom