Msaada wa haraka wa kisaikolojia kwa wanaJF

Msaada wa haraka wa kisaikolojia kwa wanaJF

JOSEPH MALULU

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
77
Reaction score
9
Ninamdogo wangu amepata tatizo la stress baada ya kuhofu kuwa mzee wetu amefariki.

MZEE YUPO.

Je tufanyejeDr.ampa dawa wapi.
 
Ninamdogo wangu amepata tatizo la stress,baada ya kuhofu kuwa mzee wetu amefarik. Je tufanyeje? Dr.ampa dawa wapi.

Pole mkuu, ina maana mzee hajafa?

Huyo jamaa muacheni wala msimuongeleshe chochote atarejea katika hali yake!!
 
kwan taarifa za mzee wenu zinasemaje? kama katangulia jipangeni jinsi ya kumpanga dogo.
 
Mzee wetu yupo. Dogo huyo nikutaka kukimbia na kutamka mambo yasioeleweka.
 
Mzee wetu yupo. Dogo huyo nikutaka kukimbia na kutamka mambo yasioeleweka.

Hebu eleza nini kilitokea hadi dogo ahisi kuwa mzee wenu alifariki. Tukishapata hata detail kidogo ndiyo mshauri atajua aanzie wapi.
 
Back
Top Bottom