J JOSEPH MALULU Member Joined Jan 2, 2014 Posts 77 Reaction score 9 May 7, 2014 #1 Ninamdogo wangu amepata tatizo la stress baada ya kuhofu kuwa mzee wetu amefariki. MZEE YUPO. Je tufanyejeDr.ampa dawa wapi.
Ninamdogo wangu amepata tatizo la stress baada ya kuhofu kuwa mzee wetu amefariki. MZEE YUPO. Je tufanyejeDr.ampa dawa wapi.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 May 7, 2014 #2 JOSEPH MALULU said: Ninamdogo wangu amepata tatizo la stress,baada ya kuhofu kuwa mzee wetu amefarik. Je tufanyeje? Dr.ampa dawa wapi. Click to expand... Pole mkuu, ina maana mzee hajafa? Huyo jamaa muacheni wala msimuongeleshe chochote atarejea katika hali yake!!
JOSEPH MALULU said: Ninamdogo wangu amepata tatizo la stress,baada ya kuhofu kuwa mzee wetu amefarik. Je tufanyeje? Dr.ampa dawa wapi. Click to expand... Pole mkuu, ina maana mzee hajafa? Huyo jamaa muacheni wala msimuongeleshe chochote atarejea katika hali yake!!
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 698 May 7, 2014 #3 kwan taarifa za mzee wenu zinasemaje? kama katangulia jipangeni jinsi ya kumpanga dogo.
J JOSEPH MALULU Member Joined Jan 2, 2014 Posts 77 Reaction score 9 May 7, 2014 Thread starter #4 Mzee wetu yupo. Dogo huyo nikutaka kukimbia na kutamka mambo yasioeleweka.
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 May 7, 2014 #5 JOSEPH MALULU said: Mzee wetu yupo. Dogo huyo nikutaka kukimbia na kutamka mambo yasioeleweka. Click to expand... Hebu eleza nini kilitokea hadi dogo ahisi kuwa mzee wenu alifariki. Tukishapata hata detail kidogo ndiyo mshauri atajua aanzie wapi.
JOSEPH MALULU said: Mzee wetu yupo. Dogo huyo nikutaka kukimbia na kutamka mambo yasioeleweka. Click to expand... Hebu eleza nini kilitokea hadi dogo ahisi kuwa mzee wenu alifariki. Tukishapata hata detail kidogo ndiyo mshauri atajua aanzie wapi.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 May 7, 2014 #6 Zogwale said: Hebu eleza nini kilitokea hadi dogo ahisi kuwa mzee wenu alifariki. Tukishapata hata detail kidogo ndiyo mshauri atajua aanzie wapi. Click to expand... sawa kabisa mkuu,.
Zogwale said: Hebu eleza nini kilitokea hadi dogo ahisi kuwa mzee wenu alifariki. Tukishapata hata detail kidogo ndiyo mshauri atajua aanzie wapi. Click to expand... sawa kabisa mkuu,.