Habari zenu wanasheria na members wote humu jamvini!
Naombeni msaada wa kisheria kwa mtu aliyekiri kosa ambalo hajafanya, ila alikubali kwa kushinikizwa au kulazimishwa na police na mbaya zaidi kakubali kwa maandishi kwakukubaliana na kosa ambalo hakufanya.