macho yangu
Member
- Apr 5, 2017
- 51
- 26
Wiki ijayo nina harusi wadau, nataka kuutoa au kuupunguza ule weusi wa kunyoa ndevu mashavuni na shingoni kwa njia za asili maana "scrub" za kizungu za viwandani hazinisaidi wakuu na mimi nataka nitokelezee kidogo simnajua harusi kupendeza jamani.