macho yangu
Member
- Apr 5, 2017
- 51
- 26
Mkuu naomba maelekezo kidogo jinsi ya kuitengeneza na kuitumia plzNjia za asili inachukua muda kupata matokeo..a week ni ndogo.
Ila scrub ya sukari na limao ingefaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba maelekezo jinsi ya kuitengeneza na kuitumia.Baking soda na limao, asubuhi na jion
Siku 3 weusi bye bye
Unachukia limao unakata nusu..unachukua sukari unaweka juu ya limao ulolata then una srubMkuu naomba maelekezo kidogo jinsi ya kuitengeneza na kuitumia plz
Andaa chombo kwa ajili ya mchanganyiko baada ya hapo weka baking soda kijiko cha chakula ikifuatiwa na vijiko 2/3 vya limaoMkuu naomba maelekezo jinsi ya kuitengeneza na kuitumia.
Mkuu karibu sana makao makuu ya nchi Idodomya {DODOMA}Harusi wapi hiyo tujongee kizuri kula na nduguyo mkuu.
Nashukuru sana mkuuUnachukia limao unakata nusu..unachukua sukari unaweka juu ya limao ulolata then una srub
Shukrani mkuu kwa msaada wako.Andaa chombo kwa ajili ya mchanganyiko baada ya hapo weka baking soda kijiko cha chakula ikifuatiwa na vijiko 2/3 vya limao
Subiri dakika kama 2 ndio utumie
Unachukia limao unakata nusu..unachukua sukari unaweka juu ya limao ulolata then una srub
Asante sana mkuu.Mkuu karibu sana makao makuu ya nchi Idodomya {DODOMA}
Mie hupenda kutumia white sugar..ni kama a bit softila sukari aisage inaweza mchana kbs ngoz au kumuwekea mikwaruzo !mie huwa naisaga kwanza iwe softy
Mkuu kuna nyongeza ya kuisaga isichubue ngoziiila sukari aisage inaweza mchana kbs ngoz au kumuwekea mikwaruzo !mie huwa naisaga kwanza iwe softy
Nashukuru sana mkuu
Mimi ni mbobezi ktk mambo haya ya urembo na utanashati kwa njia za asili.Naomba niende kwenye mada pasipo kupoteza muda.Wiki ijayo nina harusi wadau, nataka kuutoa au kuupunguza ule weusi wa kunyoa ndevu mashavuni na shingoni kwa njia za asili maana "scrub" za kizungu za viwandani hazinisaidi wakuu na mimi nataka nitokelezee kidogo simnajua harusi kupendeza jamani.
AiseeMimi ni mbobezi ktk mambo haya ya urembo na utanashati kwa njia za asili.Naomba niende kwenye mada pasipo kupoteza muda.
Chukua mkojo wako wa asbh kwenye chupa.Chukua na mavi mabichi ya kuku.Sugua sehemu husika kwa yale mavi mabichi ya kuku then unasafisha kwa mkojo.
Fanya hivyo kutwa mara Tatu kwa siku Tatu tu matokeo mazuri utayaona kisha njoo toa mrejesho hapa.