Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Mdogo wangu amekwama stend ya magu (Mbezi)akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini leo hii na ni mgeni sana anaogopa kwenda kijichi (mfukoni pia kabakiwa na 40k).
Mbadala wake nimemwambia abeti kwa tashrif ya kutoka Tanga, ila kama kuna mdau una private car na unaelekea kusini leo hii na ikifaa mida hii naomba msaada .Tutachangia pesa ya mafuta mdogo wangu aweze kutoka hapo.
Kwa yeyote tuwasiliane nione namna gani naokoa hili jahazi.