Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Kilangi masanja, hapo Magu wapo kina Kilangi, je nikupe mawasiliano yao wamsaidie?Mdogo wangu amekwama stend ya magu akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini....
Unaposema stendi ya Magu una maanisha stendi ya Wilayani Magu mkoa wa Mwanza au Stendi ya Magufuli, Mbezi jijini Dar.Mdogo wangu amekwama stend ya magu akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji...
Huyu jamaa kajichanganya uandishi mbovu, ukisoma katikati ya mistari utagundua sio Magu, Mwanza bali ni Magufuli, Mbezi jiji Dar es Salaam.Kilangi masanja, hapo Magu wapo kina Kilangi, je nikupe mawasiliano yao wamsaidie?
Akiandika kipimbavu nani atamsaidia?Huyu jamaa kajichanganya uandishi mbovu, ukisoma katikati ya mistari utagundua sio Magu, Mwanza bali ni Magufuli, Mbezi jiji Dar es Salaam.
Nazitamani kweliView attachment 2483071
Kufeli kwa avatar
Haiwezekani atoke Bukobe aende Magu halafu safari ni ya Nachingwea. Labda iwe dogo ana kamchepuko🤣🤣Ukiandika kipimbavu nani atakusaidia?
Unaposema stendi ya Magu una maanisha stendi ya Wilayani Magu mkoa wa Mwanza au Stendi ya Magufuli, Mbezi jijini Dar.
Maana kwa uandishi wa kutaka afike Nachingwea leo nahisi utakuwa unamaanisha stendi ya Magufuli.
Cha kufanya.
Kuna basi zinatoka Morogoro kwenda kusini apande.
Kuna basi za kutoka Dodoma kwenda kusini apande.
Mbona issue ndogo tu hii
Gari nyingi za dom kusini ni mtwara tu sheikheUnaposema stendi ya Magu una maanisha stendi ya Wilayani Magu mkoa wa Mwanza au Stendi ya Magufuli, Mbezi jijini Dar.
Maana kwa uandishi wa kutaka afike Nachingwea leo nahisi utakuwa unamaanisha stendi ya Magufuli.
Cha kufanya.
Kuna basi zinatoka Morogoro kwenda kusini apande.
Kuna basi za kutoka Dodoma kwenda kusini apande.
Mbona issue ndogo tu hii
Mwanaume hashindwi kitu. Anaweza asiwe na mchepuko akapata dili katikati ya safariHaiwezekani atoke Bukobe aende Magu halafu safari ni ya Nachingwea. Labda iwe dogo ana kamchepuko🤣🤣
Hela anayo mhusika sheikhe changamoto yake ni ugeni wa mji kwani alikua na altenative hii pia . MBEZI TO KARIAKOO , KISHA KARIAKOO KISEMVULE ANASHUKA MWANDEGE HAPO ANAPATA GARI ZA MACHANA ZA KUSINI MPKA ANAZIKIMBIA YEYE KAKAMtu anataka asafiri bure. Unampandisha kwenye gari yako, kaka yake anakwambia nakuwekea pesa sasa hivi. Mnaanza safari, unafika Rufiji una stretch, unaangalia simu kama kuna lolote limeingia, unakuta dry. Unampigia jamaa, hapatikani.
Hiyo mbinu nilisha wahi kufanyiwa na memba humu pasaka ya mwaka jana, naenda mkoa.
Siku hizi mtu akiniambia atachanga mafuta, huwa nahesabu manyoya. Akichanga poa, asipo changa poa
Hela anayo mhusika sheikhe changamoto yake ni ugeni wa mji kwani alikua na altenative hii pia . MBEZI TO KARIAKOO , KISHA KARIAKOO KISEMVULE ANASHUKA MWANDEGE HAPO ANAPATA GARI ZA MACHANA ZA KUSINI MPKA ANAZIKIMBIA YEYE KAKA
Hela anayo mhusika sheikhe changamoto yake ni ugeni wa mji kwani alikua na altenative hii pia . MBEZI TO KARIAKOO , KISHA KARIAKOO KISEMVULE ANASHUKA MWANDEGE HAPO ANAPATA GARI ZA MACHANA ZA KUSINI MPKA ANAZIKIMBIA YEYE KAKA
Mbona hapo Magufuli basi za Mbagala zipo nyingi sana? Si mweleweshe tuHela anayo mhusika sheikhe changamoto yake ni ugeni wa mji kwani alikua na altenative hii pia . MBEZI TO KARIAKOO , KISHA KARIAKOO KISEMVULE ANASHUKA MWANDEGE HAPO ANAPATA GARI ZA MACHANA ZA KUSINI MPKA ANAZIKIMBIA YEYE KAKA
Mbona hapo Magufuli basi za Mbagala zipo nyingi sana? Si mweleweshe
Gari nyingi za kuja nachingwea au masasi kwa kutokea mbezi ( stend ya magu hua ni za alfajiri 12) . Ila kwa kijichi na mwandege mda huh bado sana changamoto iliopo ni kua 40k akisema atoke apo aende mbagla plus mizigo alionayo meanz kua 38k ya nauli haitotimia na ndio mana nikaona niangalie msaada around au aanzie safari hapo kwani namjua kichwa maji mizunguko hio alone hatoboi na pia kwa wanaosema kusini gari ni nyingi ila ni Mkoa wa mtwara sasa mtu akipata gari ya mtwara now ni kua lazima ashuke mnazi mmoja ambako kuna kilmita zaidi ya 150 au zaidi sina uhakika kuifikia nachingwea.Gari nyingi zimemuacha kivipi? Kwamba zimejaa, au nauli yake ndogo?
Kilangi masanjaManing Nice ya Mtwara (T896DUY) ndio imeingia muda huu hapa Magufuli Terminal ikitoka Moro, aje apande ashukie Mnazi Mmoja pale atapata basi za Masasi, au asubiri Tashriff ya Tanga - Masasi inaingia sio muda mrefu
Ungemwambia aje apande hii Maning Nice ya Mtwara kimyakimya bila kukata tiketi, tiketi zinakaguliwa Temeke na Kijichi, ataamua yeye ashuke Temeke na kupanda basi za kusini au awaombe abla ya kupanda kuwa wamfikishe mpaka Mwandege ili apate basi za Nachingwea. Maning Nice ndio inang'oa saa hizi.Gari nyingi za kuja nachingwea au masasi kwa kutokea mbezi ( stend ya magu hua ni za alfajiri 12) . Ila kwa kijichi na mwandege mda huh bado sana changamoto iliopo ni kua 40k akisema atoke apo aende mbagla plus mizigo alionayo meanz kua 38k ya nauli haitotimia na ndio mana nikaona niangalie msaada around au aanzie safari hapo kwani namjua kichwa maji mizunguko hio alone hatoboi na pia kwa wanaosema kusini gari ni nyingi ila ni Mkoa wa mtwara sasa mtu akipata gari ya mtwara now ni kua lazima ashuke mnazi mmoja ambako kuna kilmita zaidi ya 150 au zaidi sina uhakika kuifikia nachingwea.
Maning Nice ya Mtwara (T896DUY) ndio imeingia muda huu hapa Magufuli Terminal ikitoka Moro, aje apande ashukie Mnazi Mmoja pale atapata basi za Masasi, au asubiri Tashriff ya Tanga - Masasi inaingia sio muda mrefu