madokta wa jf naomba kujuzwa jambo hili,hivi endapo ktk mwezi mwanamke ukaenda period siku kama 6 hivi badala ya siku 4 za kawaida na mzunguko wako ni siku 28,Je siku za hatari zinasogea mbele au zabaki vilevile?Au mp imeanza tar 2/7 ikaenda siku 6 danger day itaanza tar 12 mpk 17 au itaanza tar 14 mpk 19?Nisaidieni katika hilo wadau tafadhari...