Ninahitaji mkopo wa kama milioni moja(1ml) tu halafu nirudishe kila mwezi kama laki moja(100,000) au tutakavyokubaliana. Ninafanya kazi na tutaandikishiana kupitia kampuni yangu au/na mwanasheria. Nina matatizo yamenipata na nahitaji sana msaada,niPM au email newbietz@yahoo.com au weka mawasiliano. Tusaidiane wandugu matatizo yanatukumba wote,au hata msaada wa wapi nitapata bila masharti ya hati za viwanja etc.
Asanteni sana.
Hapo ndio tatizo,ndio maana inabidi tuandikishiane kwa mwanasheria na/au watu wa karibu. Ni msaada tu naomba kwasababu nina matatizoUtaweka rehani (bondi) nini mkuu?