Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli hiyo ni sahihi zaidi ila ninapoishi na muhimbili ambako alipatiwa matibabu ni mbali, ila humu nategemea kuna watu wa afya, lakini nitajaribu kwenda nikishindwa zaidiMkuu rudi hsptl tu issue ya macho ni sensitive sn
shukrani, ubarikiweinatakiwa iingie ndani ya jicho
inatakiwa iingie ndani ya jicho
hyo inazuia infection ya ulipofanyiwa upasuaj mkuu kwa hyo unaweka pale ulipofanyiwa matibab ukiweka inayeyuka yenyewe ndani ya mshono husika
Aliyekupa hilo jibu sio doctor achana nae, nenda hata hospital ya jirani watakupa maelekezo, kupaka ndani ya Jicho is sensitive issue, not necessarily urudi mhimbili ,shukrani, ubarikiwe
Ya mgonjwa ana angalia paa una mwekee kidogo tu kwenye sehemu ya weupekwahiyo iingie ndani ya jicho kabisa maana ni kama mafuta ya mgando hivi
Ya mgonjwa ana angalia paa una mwekee kidogo tu kwenye sehemu ya weupe
Hiyo ni ointment, wakati wa kuitumia muhusika anatakiwa kufungua jicho lake na kuminya kiasi kidogo. Then anaweza kupumzika kwa dkk kadhaa kwa kufumba macho ili dawa isambae vyema
Mkuu dawa inawekwa ndani ya jicho
asanteni sanaaa