Hizo ni mvi za ukoo na ni umerithi. Hakuna dawa ya kuziondoa mkuu na ukijaribu kupaka hizi sijui PICO ndio umezikaribisha kwa fujo
Nina rafiki yangu pia tunalingana kabisa ila yeye aliota mvi tokea akiwa na 20's yrs na zinaongezeka wakati mimi hata Baba yangu hana mvi mpaka hivi sasa.